Tafsiri ya sheikh barwani

Tafsiri ya sheikh barwani

Alif Lam Mim. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2. Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa. Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo. Hao wapo juu ya uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio walio fanikiwa. Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.

Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. Na katika watu, wako wasemao: Tumemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, wala wao si wenye kuamini. Wanatafuta kumdanganya Mwenyezi Mungu na wale walio amini, lakini hawadanganyi ila nafsi zao; nao hawatambui. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. Na wanapo ambiwa:Msifanye uharibifu ulimwenguni.

Husema: Bali sisi ni watengenezaji. Hakika wao ndio waharibifu, lakini hawatambui. Na wanapo ambiwa: Aminini kama walivyo amini watu. Husema: Tuamini kama walivyo amini wapumbavu? Hakika wao ndio wapumbavu, lakini hawajui tu. Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi.

Hakika sisi tunawadhihaki tu. Mwenyezi Mungu atawadhihaki wao na atawawacha katika upotofu wao wakitangatanga ovyo. Hao ndio walio nunua upotofu kwa uwongofu; lakini biashara yao haikupata tija, wala hawakuwa wenye kuongoka.

Mfano wao ni kama mfano wa aliye koka moto, na ulipo tanda mwangaza wake kote kote Mwenyezi Mungu aliiondoa nuru yao na akawawacha katika giza, hawaoni. Viziwi, mabubu, vipofu; kwa hivyo hawatarejea. Au ni kama mvua kubwa itokayo mbinguni, ina giza na radi na umeme; wakawa wakitia vidole vyao masikioni mwao kwa ajili ya mingurumo, kwa kuogopa kufa.

Na Mwenyezi Mungu amewazunguka makafiri. Unakaribia umeme kunyakua macho yao.

tafsiri ya sheikh barwani

Kila ukiwatolea mwangaza huenda, na unapo wafanyia giza husimama. Na angelitaka Mwenyezi Mungu angeliondoa kusikia kwao na kuona kwao. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu. Enyi watu! Muabuduni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni nyinyi na wale wa kabla yenu, ili mpate kuokoka. Mwenyezi Mungu ambaye amekufanyieni hii ardhi kuwa kama tandiko, na mbingu kama paa, na akateremsha maji kutoka mbinguni, na kwayo akatoa matunda yawe riziki zenu.

Basi msimfanyizie Mwenyezi Mungu washirika, na hali nyinyi mnajua. Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli. Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao wanao kanusha. Na wabashirie walio amini na wakatenda mema kwamba watapata mabustani yapitayo mito kati yake; kila watapo pewa matunda humo, watasema: Haya ndiyo kama tuliyo pewa mbele.Hofu ya Uislamu.

Kitabu hiki kwao ni tofauti kabisa na maandiko ya vitabu vya dini nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kimeandikwa moja kwa moja na Mwenyezi Mungu, kupitia mtume wake wa mwisho, Muhammad.

Kadiri ya QuraniMungu alimuambia Muhammad: "Na namna hivi tumekufunulia Qurani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembeni mwake". Lakini, kwa vile leo Waislamu walio wengi ulimwenguni hawajui Kiarabu, maana halisi ya Qur'an hutolewa kwa lugha nyingine, hivyo kupelekea wasomaji kuelewa vyema yale maneno ya Kiarabu kwenye Qur'an yana maana gani.

Vitabu hivyo ni kama kamusi kwa ajili ya Qur'an - hawavisomi hivi kama moja ya sehemu ya Quran tukufu na Waislam, ili kuwa badala ya Quran ya Kiarabu. Waislamu wengi wanaamini kwamba tafsiri ile siyo ya Qur'an tukufu na wala siyo ya kweli; ni kopi ya Kiarabu tu iliyotolewa kwenye Qur'an ya kweli.

Qur'an tukufu haikuwa kitabu cha maandiko wakati wa uhai wa mtume Muhammad ; iliwekwa kwa mawasiliano ya kimdomo tu. Bimaana, watu walihifadhi kichwani. Mtume labda hakuwa anajua kusoma wala kuandika, lakini kwa mujibu wa Waislamu, swahaba wake Abu Bekr alikuwa akiandika maandiko yale juu ya kitu fulani wakati huo mtume Muhammad yu hai.

Pale Abu Bekr alipokuja kuwa khalifa, ameileta Qur'an na kuwa kitabu kitakatifu. Uthmanambaye ni khalifa wa tatu, ameondoa vipengele ambavyo vilikuwa havihusiani na Qur'an tukufu. Kuna sehemu 30 katika Qur'an, ambayo inafanya kuwa na sura Kila sura ina namba tofauti ya mistari.

Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani

Kwa mujibu wa mafunzo ya Kiislam, sura 86 kati ya hizi zimeshuka mjini Makkasura 24 kati ya hizi zimeshuka mjini Madina. Katika Qu'ran tukufu, inasomwa kwamba Wayahudi na Wakristo pia huamini Mungu wa kweli. Dini hizi pamoja na Uislamu huitwa za Abrahamu kwa sababu ya mahusiano haya.

Kuna baadhi ya kurasa za Qu'ran zinazoelezea habari za mambo ya watu wa katika Biblia. Hata hivyo, kuna tofauti za muhimu kabisa baina ya Uislamu na toleo la Biblia katika kuelezea habari za aina moja.

Kwa mfano, Qu'ran tukufu inaelezea kwamba Yesu Kristo si Mwana wa Mungukama jinsi Wakristo wanavyoamini; kwa Waislamu, alikuwa nabii tu, anayeheshimiwa kwa jina la Isa bin Mariamu. Uislamu unafundisha kwamba haya yanatokea kwa sababu maandiko ya awali ya Biblia yamepotea na hivyo kuna baadhi ya watu wameyabadilisha. Lakini nje ya Qu'ran hakuna uthibitisho wa fundisho hilo.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru. Sehemu ya mfululizo wa makala juu ya Uislamu. Jamii : Mbegu za vitabu Misahafu Uislamu. Maeneo ya wiki Makala Majadiliano.

Mitazamo Soma Hariri Hariri chanzo Fungua historia. Miradi mingine Wikimedia Commons. Ukurasa huu umebadilishwa kwa mara ya mwisho tarehe 8 Julaisaa Maandishi yanapatikana chini ya leseni ya Creative Commons Attribution-ShareAlike License ; matakwa mengine yanaweza kutakiwa. Tazama maelezo zaidi ya Matakwa ya Utumiaji. Waislamu muhimu. Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy 12 Februari - 9 Novemba alikuwa mwanachuoni na mwanahistoria mkubwa wa Kiislamu na mmojawapo wa washairi wakubwa kutoka Zanzibar lakini baadaye alihamia MombasaKenya.

TAFSIRI YA SURATUL AHZAAB-Sheikh Salim Qahtwani

Alifahamka zaidi kwa kutafsiri Qurani tukufu kwa Kiswahili. Vilevile alipata kuwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar. Alikuwa mtu mwenye kupendwa na watu na alikuwa akizungukwa mara kwa mara na watu wanaotaka kumsalimia au kupata kutoka kwake mafunzo ya Dini. Umaarufu wake ulikuwa si katika kisiwa cha Zanzibar na nchi za Afrika ya Mashariki peke yake, bali ulienea hadi Somalia ya kusini na ya kaskazini, Cape Town upande wa kusini mpaka kufikia Malawi, mahali alipokuwa akitoa darsa zake kabla ya kuhamia Kenya kwa kuhofia kukamatwa na serikali ya Zanzibar.

Alizaliwa Zanzibar mwezi wa Februari mwaka katika ukoo maarufu, akajifunza Qur-aan kutoka kwa Fatma Hamid Saidaliyesoma kwa Shaykh Amin bin Ahmed aliyekuwa akifundisha Qur-aan kijiji cha Jongeani mahali alipozaliwa Shaykh Abdullah Farsy na kukulia. Shaykh Abdullah Saleh Farsy alihifadhi Qur-aan yote pamoja na hadithi nyingi za Mtume wa Mwenyezi Mungu Swallah Llahu alayhi wa Sallam akiwa na umri mdogo sana, na shauku yake kubwa isiyotoshelezeka ya kujifunza masomo ya Kiislamu na ya kiulimwengu ilionekana pale wenzake walipokuwa wakijishughulisha na michezo na anasa za kidunia, wakati yeye alikuwa kila siku akizama katika kusoma kitabu kipya cha mafunzo ya Kiislamu.

Alikuwa akipenda sana kusoma kiasi ambapo maisha yake yote yalifungika ndani ya maktaba yake kubwa ya nyumbani. Alipofariki dunia, Shaykh Abdullah Saleh al-Farsy alikuwa Aalim mwenye kutambulika na kuheshimika kupita wote katika nchi zinazotumia lugha ya Kiswahili. Mchango wake usiokuwa na mfano katika kuelimisha watu dini ya Kiislamu ulifikia kiwango chake cha juu baada ya kuchapicha tafsiri kamili ya mwanzo ya Qur-aan Takatifu ya Kiswahili iliyokubaliwa rasmi yenye kurasa Alipokuwa kijana, mwanachuoni huyu mwenye hamasa na uhodari alibahatika wakati ule kuwepo na kuenea kwa vyuo vikongwe vya Kiislamu vilivyojaa wanafunzi chini ya uongozi wa Maulamaa weledi mfano wa Shaykh Abu Bakar bin Abdullah bin Bakathir aliyekuwa mwanafunzi maarufu wa Sayyid Ahmed bin Abu Bakar al-Sumait Imamu huyu wa msikiti wa Forodhani aliyefariki dunia wakati akitoa darsi ndani ya msikiti Gofu alikuwa mwanafunzi wa Shaykh Muhammad Abdul Rahman Makhzymymmojawapo wa waalimu wa Shaykh Abdullah Saleh Farsy.

Baada ya kuwa mjuzi katika elimu ya taasisi ya Kiislamu katika chuo cha Msikiti Barza, Shaykh Abdullah Saleh Farsy alikuwa mjuzi pia wa elimu ya nahau ya lugha ya Kiarabu. Na alipokuwa na umri wa miaka 20 alikuwa akiandika mashairi ya Kiarabu, dalili ya daraja kubwa ya elimu ambayo Maulamaa wa Zanzibar wakati ule waliweza kuieneza.

Baada ya kuhitimu darsi zote katika chuo cha Msikiti Barza, Shaykh Abdullah Saleh Farsy aliruhusiwa na Shaykh Ahmed bin Muhammad al-Mlomry kusomesha katika chuo hicho katika mwezi wa Ramadhan chini ya uangalizi wake.

Shaykh Abu Bakar bin Abdullah bin Bakathir aliyejifunza kutoka kwake elimu ya Fiq'hi kupita Maulamaa wengi hapo Zanzibar, alikuwa akihudhuria darsi za Shaykh Abdullah Saleh Farsy kwa ajili ya kumpa moyo, kisha akamchagua kuwa Imamu wa Swalah ya Witri kutoka mwaka mpaka terehe 28 Oktobaalipomruhusu pia kusoma Qur-aan katika Msikiti Gofu na hatimaye akawa anasalisha Swalah ya Alfajiri mpaka mwaka alipochukuwa mahali pake mtoto wa dada yake Saleh bin Salim bin Zagar.

Alijifunza kutoka kwake pia elimu ya kupanga nyakati za Swalah na kuujua upande wa Qiblah.

Tafsiri ya Qur an kwa Kiswahili ya Qala Alam - Juzu ya 16

Bahati mbaya mwanachuoni huyu alirudi Yemen katika mwaka wa kutokana na udikteta uliokuwepo Zanzibar chini ya serikali iliyoongozwa na mkiristo Julius Kambarage Nyerere. Umahiri aliouonyesha Shaykh Abdullah Saleh Farsy katika elimu ya mambo ya kidunia ulikuwa mkubwa pia.

tafsiri ya sheikh barwani

Alikuwa hodari sana katika elimu hiyo, na alipokuwa Central Primary School aliyojiunga nayo mwakamwalimu wa lugha ya Kiingereza alishindwa kuamua darasa lipi ampeleke. Shaykh Abdullah Saleh Farsy aliyemaliza miaka minane inayotakiwa katika shule ya msingi katika muda wa miaka mitano tu. Aliandika tafsiri yake ya Qur-aan Takatifu kuanzia mwaka wa hadi mwakawakati fikra za umoja wa Kiislamu na Uislamu wa kisasa ulipokuwa ukifanyiwa kampeni kubwa hapo Zanzibar. David Livingston huko Zanzibar.

tafsiri ya sheikh barwani

Tafsiri ya Padri Dale iliyoandikwa kwa Kiswahili cha Kiunguja ilikuwa na kurasa pamoja na kurasa za sharhi, ilipigwa chapa mwaka huko London na jumuiya ya kueneza elimu ya Kikristo Society for Promoting Christian Knowledge. Kwa vile tafsiri hiyo iliandikwa kwa njia ya kuutetea Ukristo, jambo lisilokubalika kwa Waislamu, Shaykh Mubarak bin Ahmed bin Ahmad, mkuu wa Makadiani Afrika Mashariki Ahmadiyah Muslim in East Africa aliamua kuanza kuandika tafsiri yake mwaka iliyokubaliwa na kutambuliwa na wamisionari hapo Zanzibar.

Katika mwaka nakala ya tafsiri ya Makadiani iliyopigwa taipu ilipelekwa mbele ya kamati ya lugha ya Kiswahili Inter-Territorial Swahili Language kwa ajili ya kukubaliwa rasmi kilugha. Na katika mwezi wa Aprili mwakakamati ilijibu kwa kuikubali lugha iliyotumika ikitaka baadhi ya marekebisho kufanyika. Juu ya kuwa masahihisho yote hayakufanyika kama ilivyotakiwa, tafsiri hiyo ikapelekwa mbele ya baadhi ya viongozi wa Makadiani wa Afrika ya Mashariki na kukubaliwa kuwa lugha iliyotumika ni nzuri na yenye kukubalika.

Shaykh Amri bin Abeidaliyejifunza Ukadiani huko Pakistan mwaka alijaribu kuitetea tafsiri ya Makadiani, lakini tafsiri hiyo iliyopigwa chapa kwa mara ya mwanzo mwaka ilisababisha mgogoro mkubwa kutoka kwa Masunni waliowatuhumu Makadiani kuwa wamebadilisha na kugeuza baadhi ya maneno kwa kusudi la kuunga mkono fikra zao. Ili kupambana na tafsiri za Wakristo na Makadiani zilizogeuzwa na kubadilishwa ilionekana kuwepo umuhimu na dharura ya kupatikana tafsiri yenye kutambuliwa rasmi.

Jukumu hilo akabebeshwa Shaykh Abdullah Saleh Farsy, aliyekuwa akimuomba Mwenyezi Mungu ampe umri mrefu asife kabla ya kuikamilisha tafsiri hiyo. Fikra hii adhimu ilianza baada ya Shaykh kupiga chapa kitabu chake cha mwanzo kiitwacho 'Maisha ya Mtume Muhammad' Swallah Llahu alayhi wa Sallam kilichofuatiliwa na kitabu cha Sura za Swalah na Tafsiri zake mwaka Vasingstake, Uingereza na kutolewa mwaka Zanzibar. Tafsiri yake aliyoiandika kwa kuitegemea zaidi tafsiri ya Jalalayn ilianza kupigwa chapa juzuu baada ya juzuu, na baina ya mwaka na juzuu kumi na mbili zilikwishapigwa chapa.

Kutokana na upungufu wa fedha, tafsiri iliyokamilika ilipigwa chapa mwaka na wadhamini walikuwa The Islamic Foundation. Msaada mkubwa uliotolewa na Sultani wa Qatar, Shaykh Ahmad bin Ali uliwezesha kugawiwa bure misahafu 4, na kuuzwa misahafu mingine 3, kwa bei nafuu ya shilingi kumi tu.Numerous and frequently-updated resource results are available from this WorldCat.

Please choose whether or not you want other users to be able to see on your profile that this library is a favorite of yours. Finding libraries that hold this item You may have already requested this item.

Please select Ok if you would like to proceed with this request anyway. All rights reserved.

Privacy Policy Cookie Notice Terms and Conditions WorldCat is the world's largest library catalog, helping you find library materials online. Don't have an account? Your Web browser is not enabled for JavaScript. Some features of WorldCat will not be available. Create lists, bibliographies and reviews: or. Search WorldCat Find items in libraries near you. Advanced Search Find a Library.

Your list has reached the maximum number of items. Please create a new list with a new name; move some items to a new or existing list; or delete some items. Your request to send this item has been completed. APA 6th ed. Note: Citations are based on reference standards. However, formatting rules can vary widely between applications and fields of interest or study.

The specific requirements or preferences of your reviewing publisher, classroom teacher, institution or organization should be applied. The E-mail Address es field is required. Please enter recipient e-mail address es. The E-mail Address es you entered is are not in a valid format.

Please re-enter recipient e-mail address es. You may send this item to up to five recipients. The name field is required. Please enter your name. The E-mail message field is required. Please enter the message. Please verify that you are not a robot.

Would you also like to submit a review for this item? You already recently rated this item. Your rating has been recorded. Write a review Rate this item: 1 2 3 4 5. Preview this item Preview this item.Katika jedwali lifuatalo bonyeza namba kabla ya jina la sura kuifungua sura pamoja na hati za kiarabu au namba baada ya jina kuifungua sura bila hati za kiarabu.

Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili. Translation of the Holy Qur'an to Swahili Language. Al Fatiha 2. Al Baqara 3. Al I'mran 4. An Nissaai 5.

Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy

Al Maida 6. Al An-a'am 7. Al A'raaf 8. Al Anfaal 9. At Tawba Yunus Hud Yusuf Ar Raa'd Ibrahim Al Hijr An Nah'l Al Israai Al Kahf Maryam T'aha Al Anbiyaa Al Hajj Al Muuminun An Nuur Chagua Sura: 1. Al Fatiha 2. Al Baqara 3. Al I'mran 4. An Nissaai 5. Al Maida 6. Al An-a'am 7. Al A'raaf 8. Al Anfaal 9. At Tawba Yunus Hud Yusuf Ar Raa'd Ibrahim Al Hijr An Nah'l Al Israai Al Kahf Maryam T'aha Al Anbiyaa Al Hajj Al Muuminun An Nuur Al Furqan Ash Shua'raa An Naml Al Qas'as' Al A'nkabut Ar Rum Luqman As Sajdah Al Ahzab As Sabaa Al Faatir Ya-sin Ass'affat Kila sifa njema zinamstahikia Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote, na rehema na amani zimshukie Mtume Muhammad SAW na watu wake na wafuasi wake wanaomfuata kwenye uongofu aliokuja nao mpaka Siku ya Kiyama.

Qurani Karimu ni Kitabu cha Mwenyezi Mungu na Wahyi wa mwisho alioteremshiwa Mtume Muhammad SAW kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu kutokana na giza la upotofu na ushirikina kuwatia kwenye mwangaza wa imani ya Mwenyezi Mungu Mmoja usiozimika nuru yake, na kwenye uongofu wa daima utakaowanawiria maisha yao na kuyafanya kuwa mazuri na ya furaha hapa duniani na kesho Akhera.

Mwenyezi Mungu, tangu alipoiteremsha hii Qurani aliwawafikia watu wengi kuisoma na kuihifadhi na kuifasiri na kuzishughulikia elimu zenye uhusiano na Kitabu hiki kitukufu, na Waislamu wa makabila mbali mbali waliingia kundini kuifasiri Qurani kwa lugha zao ili watu wao waweze kuifahamu na kuizingatia na kuitumia katika maisha yao, na leo alhamdulillahi kuna tafsiri za Qurani za lugha tofauti tofauti kote ulimwenguni.

Kutokana na juhudi hii kubwa iliyofanywa na watu wa makabila mbali mbali, leo Waislamu hawana taabu ya kuifahamu Qurani ambayo ni desturi ya maisha yao na muongozo wa mambo yao yote hapa duniani. Bidii hii imewasahilishia Waislamu wengi kuyafahamu Maneno ya Mola wao na kujaribu kufuata maelekezo yaliyokuwemo humo ya kufanya mema na kujiepusha na maovu na kuzingatia maonyo yaliyokuwemo kuhusu wale walioasi ambao mwishowe waliangamizwa.

Lugha ya Kiswahili inayozungumzwa na mamilioni ya watu wa Afrika Mashariki, kadhalika imepata hadhi ya kufasiriwa Qurani Karimu kwa lugha hio na leo alhamdulillahi kuna tafsiri mbili kamili kwa lugha ya Kiswahili za wanazuoni wa Afrika Mashariki, Sheikh Abdallah Saleh Farsy na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani waliotangulia mbele ya Mola wao, Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema, amin. Inshallah tafsiri hii itakuwa nyongeza ya juhudi ya wanazuoni waliotutangulia na Mwenyezi Mungu atatupa sote pamoja na wale wenye kunufaika na tafsiri hizi thawabu nyingi na ujira mkubwa kwa kuzisoma, amin.

Kwa ufupi, tafsiri hii ya Qurani Karimu imefaidika sana kutokana na tafsiri za Maulamaa wakubwa wa tafsiri za Kiarabu na wafasiri wa Qurani wa lugha ya Kiingereza, na kadhalika wafasiri waliotangulia wa lugha ya Kiswahili, na kwa hivyo asione ajabu mwenye kuisoma akakuta baadhi ya tofauti katika tafsiri, kwani tangu wakati wa mwanzo, Masahaba walitafautiana katika kufasiri baadhi ya Aya, na hili ni wazi kwa yule mwenye kuzisoma tafsiri za Maulamaa wakubwa wa Kiarabu.

Tafsiri tulizozitumia kufasiri Qurani Karimu. Katika muda wa zaidi ya miaka kumi nilishawishika sana na fikra ya kuifasiri Qurani Karimu kwa lugha ya Kiswahili, si kwa kutokuwepo tafsiri hizi kwa lugha hio, lakini zaidi ni kujaribu kuzidi kufafanua yale yaliyokuwemo katika Kitabu hiki Kitukufu cha Mwenyezi Mungu ambacho daima kina hazina mpya zilizozikwa ndani yake zinazongojea Waislamu kuzitafuta na kuzidhihirisha.

Baada ya kuzisoma tafsiri kadha wa kadha za lugha ya Kiarabu na Kiingereza na Kiswahili na kuzipitia mara kwa mara katika masomo yangu ya lugha ya Kiarabu na Sharia, na katika juhudi yangu ya kufasiri baadhi ya vitabu vya Kiislamu, na kwa kuhudhuria kwangu darsa za tafsiri ya Qurani za wanazuoni mbali mbali, Unguja na Mombasa, nilizidi kukinaika na kuingiwa na hamu na hima na hamasa ya kutaka.

Mwenyezi Mungu aliyetukuka aliniwafikia kupata nafasi ya kusoma tafsiri mbali mbali ambazo zilinawirisha kuhusu Qurani Karimu na madhumuni yake na elimu zake tofauti tofauti na makusudio makubwa ya kuteremshwa Kitabu hiki Kitukufu kiwe ndio Kitabu cha mwisho cha uongofu wa wanadamu wote ulimwenguni.

Vitabu vya tafsiri vya Maulamaa wafuatao wa elimu hii vilinisaidia kuzidi kufahamu elimu hii na kuniwezesha na kunisahilishia kazi yangu ya kufasiri Qurani Karimu kwa lugha ya Kiswahili.

Tunamuomba Mola wa walimwengu tawfiki na qabuli, amin. Dibaji ya Qurani Karimu.

Sura Ya 103 Tafsir Kiarabu Na Kiswahili MP3 Download

Wallahu Waliyut-Tawfiq. The Holy Quran contains:. Tafsiri tulizozitumia kufasiri Qurani Karimu Katika muda wa zaidi ya miaka kumi nilishawishika sana na fikra ya kuifasiri Qurani Karimu kwa lugha ya Kiswahili, si kwa kutokuwepo tafsiri hizi kwa lugha hio, lakini zaidi ni kujaribu kuzidi kufafanua yale yaliyokuwemo katika Kitabu hiki Kitukufu cha Mwenyezi Mungu ambacho daima kina hazina mpya zilizozikwa ndani yake zinazongojea Waislamu kuzitafuta na kuzidhihirisha.

Swahili Translation. Tafsiri za Kiarabu. Tafsiri za Kiingereza. Amefariki Amefariki Amefariki Amezaliwa Amezaliwa Tafsiri za Kiswahili. Qurani Takatifu Qurani Tukufu. Amefariki Amefariki Close Menu.


replies on “Tafsiri ya sheikh barwani”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *